
FlyDubai Boeing 737 -800
WATU 62 wamepoteza maisha dunia baada ya ndege ya FlyDubai
Boeing 737 -800 kupata ajali wakati ikijaribu kutua katika uwanja wa
ndege wa Rostov-on-Don nchini Urusi usiku wa kuamkia leo.


Kwa mujibu wa vyanzo vya habari hiyo,
FlyDubai Boeing 737 -800 hufanya safari zake kati ya Dubai na
Rostov-on-Don ilikuwa imetoka Dubai na kupewa flight namba FZ981, na
kwamba hali ya hewa ilibadilika ghafla mita chache kabla ya kutua
uwanjani hapo ndipo rubani akajaribu kutua umbali wa mita 100 kutoka
uwanja wa Rostov-on-Don uliopo Jimbo la Rostov.



TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment