Baada ya UKAWA Kususia Bunge, Waziri NAPE Kawajibu Haya

Moja ya headline iliyochukua nafasi April 22 ni pamoja na hii ya Umoja wa vyama vya upinzani bungeni kutangaza kuwa havitashiriki kuchangia hoja mikutano yote inayoendelea hadi baadhi ya vipengele kama urushwaji wa matangazo ya moja kwa moja kutofanyika.

Baada ya hayo yote, Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye anasema ‘Tunachotegemea wangewasilisha mpango mbadala kwa mwaka 2017/2017, badala yake mchana wakasema hawapo tayari, jioni wamekuja wanasema hatua zinazochukuliwa na Serikalini ni hatua zinzokiuka utaratibu‘ ;-Nape Nnauye

‘Tunachokiona hawa wenzetu pengine kasi ya hawamu ya tano inawashinda, sasa wanaamua kuweka vihoja n akushindwa kuweka mpango mbadala. Na kama hawana huo mpango mbadala basi si’mbaya waache mpango ulioletwa na Serikali upitishwe na utekelezwe‘ ;-Nape Nnauye
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment