Zitto KABWE Atangaza Kujiuzulu Ujumbe Kamati ya Huduma Za Jamii Baada ya Wajumbe wake Kutuhumiwa Kwa Rushwa

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wammepokea rushwa.
Kutokana na shtuma hizo ameamua kumuandikia spika barua ya kujiuzulu na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.
Hii ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment