Meya Dar atoa Mpya ya Mwaka... Aikataa Nyumba ya Serikali

Meya Mpya wa jiji la Dar es salaam Mhe.Charles Mwita (CHADEMA) ametoa kali ya mwaka na kuwashangaza watu baada ya kugoma kuhamia kwenye nyumba ya serikali ambayo ni maalumu kwa ajili ya Meya na kudai kuwa ataendelea kubakia kwenye makazi yake yaliyopo huko Vijibweni, Kigamboni.

Hata hivyo Meya huyo hakuweza kubainisha sababu yeyote muhimu iliyomfanya kuikataa nyumba hiyo aliyopewa na Serikali na kusisitiza aachwe abaki kwake Vijibweni.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment