Waziri Mkuu Azindua Mfumo Mpya wa Ukusanyaji Mapato Kupitia NMB

1 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania – Kassim Majaliwa na Mkurugenzi wa NMB – Ineke Bussemaker wakiangalia bango lililozinduliwa na Mh Waziri Mkuu kwaajili ya mfumo mpya wa ukusanyaji mapato ya halmashauri kwa njia ya kielektroniki kupitia NMB. Kondi mbalimbali ndani ya halmashauri zitakuwa zinalipwa kupitia NMB Mobile, Matawi ya NMB na NMB Wakala. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti mpya wa ALAT – Gulamhafeez  Mukadam, Mkamu Mwenyekiti wa ALAT – Stephen Mhapa na Abdulmajid Nsekela – Afisa Mkuu wa wateja wadogo wa NMB
2
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania – Kassim Majaliwa akimpongeza Mkurugenzi wa NMB – Ineke Bussemaker kwa hatua iliyofikiwa na benki hiyo ya kuanza rasmi ukusanyaji wa mapato ya halmashauri kwa njia ya kielektroniki kupitia NMB. Kondi mbalimbali ndani ya halmashauri zitakuwa zinalipwa kupitia NMB Mobile, Matawi ya NMB na NMB Wakala. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti mpya wa ALAT – Gulamhafeez  Mukadam, Mkamu Mwenyekiti wa ALAT – Stephen Mhapa na Abdulmajid Nsekela – Afisa Mkuu wa wateja wadogo wa NMB
3
 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania – Kassim Majaliwa na Mkurugenzi wa NMB – Ineke Bussemaker wafunua bango la NMB kuashiria uzinduzi rasmi wa mfumo wa kielektroniki wa NMB wa ukusanyaji mapato ya serikali kupitia halmashauri. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti mpya wa ALAT – Gulamhafeez  Mukadam, Mkamu Mwenyekiti wa ALAT – Stephen Mhapa na Abdulmajid Nsekela – Afisa Mkuu wa wateja wadogo wa NMB.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment