Showing posts with label KITAIFA. Show all posts
Showing posts with label KITAIFA. Show all posts

Profesa Ibrahm Lipumba na Msajili wa Vyama Jaji Francis Mutungi Washtakiwa Mahakamani na Bodi ya Wadhamni CUF

Mgogoro ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) umeingia hatua ya pili baada ya Bodi ya Wadhamini kufungua kesi wakimtuhumu Prof. Ibrahim Lipumb...
Read More

Kiama Kwa Madalali wa Ardhi na Nyumba Chatangazwa na Serikali

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametishia kuwafutia usajili baadhi ya madalali wa ardhi na nyumba, kutokan...
Read More

Muswada wa kuweka masharti ya ualimu nchini waja

Serikali inakamilisha Muswada wa Sheria utakaoweka wazi sifa za walimu wakiwamo wa vyuo vikuu, msingi na sekondari nchini. Hayo yalisemw...
Read More

Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma Matatani.. Waziri Mkuu Majaliwa Aagiza Achunguzwe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bw. Jordan Rugimbana kuchunguza ni kwa nini Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma B...
Read More

Watu 21 Wafariki Kwa Ugonjwa Wa Ajabu Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gumbo (katikati). ARUSHA: Watu zaidi ya 21 wamekufa katika Kata ya Pinyinyi wilayani Ngorongoro mkoani A...
Read More

Msajili Vyama vya Siasa Atoa Onyo Kwa Wanaochafua Ofisi Yake

WAKATI Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akitoa onyo na kuwataka wale wote wanaotumia vibaya jina la ofisi ya Msajili ili kuichafua ofisi...
Read More

Mbunge Saed Kubenea kizimbani tena kwa kupotosha

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya ku...
Read More