Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars alfajiri ya March 25 iliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage ukitokea Chad kwa kupitia Ethiopia. Taifa Stars waliwasili Dar Es Salaam na kupokelewa na mapokezi mazuri kutoka kwa kikundi cha ushangiliaji cha Taifa Stars Suporter pamoja na watu mbalimbali.
Taifa Stars itacheza mchezo wake wa pili wa marudiano na Chad Jumatatu ya March 28 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, baada ya mchezo wa kwanza kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 uliyochezwa jumatano hii Chad katika uwanja wa Idriss Mahamat.
Kikundi cha ushangiliaji kilichojitokeza kuipokea Taifa Stars
Burudani ya ngoma ilikuwa ikiendelea wakati ambao Taifa Stars inasubiriwa
Mbwana Samatta akisindikizwa na mashabiki kwenye basi la timu.
Kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa alivyosindikizwa kwenye basi na mashabiki
Mbwana Samatta ndio alikuwa mchezaji wa mwisho kuingia kwenye basi
Stars Suporter wakijipanga kuisubiri Taifa Stars
Erasto Nyoni
Samatta akisalimiana na kiongozi wa Stars Suporter
Kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa akiongea na waandishi wa habari
-via millardayo
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment