PICHA 10: Mchezaji wa Azam Farid Musa Aliyeko Hispania Kwa Majaribio Awakosha wa Spain

Winga mshambuliaji wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Farid Musa leo Mei 1 2016 ametimiza siku ya tano katika majaribio yake ya soka la kulipwa Ulaya Club Deportive Tenerife Hispania, Tenerife wanaripotiwa kumkubali Farid kiasi hata cha kufanyiwa vipimo vya afya na mitandao mingi ya Tanzania inaripoti kuwa Farid tayari kakubaliwa na klabu hiyo na wanataka kumsajili kwa mkopo wa miaka miwili.



Farid akiwa na Yusuf Bakhresa





TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment