Rais Mwanamke wa Brazil Dilma Rousseff Anyang'anywa Urais Kwa Bunge Kutokuwa na Imani Naye

BRASILIA, BRAZIL: 
Rais Dilma Rousseff ameondolewa madarakani kwa kura 61 leo baada ya Bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.
Aliyekuwa Makamu wake, ambaye aligeuka adui namba moja Michel Temer, sasa anaapishwa kuwa Rais hadi uchaguzi mkuu utakapofanyika mwaka 2018.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment