AJIUA KWA KUNYWA SUMU BAADA YA KUISHI MIAKA 40 BILA KUPATA MWANAMKE

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 40 raia wa Nigeria aliyetambulika kwa jina moja la Femi, amejiua kwa kunywa Sumu kwa sababu mpaka kufikia umri huo hakuwa na mwanamke aliyetaka kuolewa nae.
Femi mkazi wa mtaa wa Alhaj Aboki jijini Lagos, ameishafanya majaribio kadhaa ya kujiua kabla ya hili kufanikiwa.

Kwa mujibu wa mmiliki wa Nyumba aliyempangisha, mzee Okeseun Olatunde, amesema Femi alikuwa na maumivu moyoni mwaka kwanini katika umri huo hakuwa amepata mwenza wa kuwa nae na familia yake yenyewe.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya Wilaya na itatolewa mara tu Polisi watakapomaliza uchunguzi wao.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment