Vilevile
Mheshimiwa Rais ametoa ujumbe kwa Kipepeo Bernadeta kuwa amtumainie
Mungu kwani ndiye muweza wa kila kitu. Katika upande mwingine Naibu wa
Waziri wa Wizara ya Kazi, Vijana na Ajira Mh. Anthony Mavunde amechangia
Shilingi Milioni 1.
Kama
umeguswa na unahitaji kuchangia au unataka maelezo zaidi kuhusu jinsi
ya kumsaidia piga namba 0742848729. Pia unaweza kuangalia story yake
kamili kwenye account hii ya Instagram@BernadetaMsigwa.
Asante sana Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Asante sana Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment