Shughuli za uokoaji. Jengo kabla na baada ya kuporomoka. Jengo baada ya kuporomoka. Jengo lililoporomoka.
Majeruhi wa tukio hilo.Wananchi wakitaharuki eneo la tukio. Kwa mbali ni vumbi kali eneo la tukio.
Hali halisi ilivyokuwa.
Kyobe Rashid ni miongoni mwa walifariki dunia kutokana na ajali hiyo.
WATU wapatao 8 wameripotiwa kufariki
dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya jengo la ghorofa sita
lililoko karibu na Chuo Kikuu cha Makerere, Kampala nchini Uganda
kuporomok.
Wanafunzi wa Chuo cha Makerere waliongea na EagleOnline
kuwa, tukio hilo lilitokea jana Jumatatu April 11 mchana ambapo Jengo
hilo la Kyaseka Towers lililopo barabara ya Makerere Hill karibu kabisa
na chuo hicho liliporomoka baada ya kuzidiwa urefu kwa kuwa mmiliki wake
aliamua kuongeza floor nyingine juu bila kibali kutoka mamlaka za
ujenzi.
CHANZO: EagleOnline
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment