Waziri Mkuu MAJALIWA Uso Kwa Uso na Viongozi wa TFF‏

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Tanzania Footbal Federation (TFF) ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 21, 2016 Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa, Rais wa TFF, Jamal Malinzi, Mkurugenzi wa Ufundi Salum Madadi na Msaidizi wa Rais wa TFF, Juma Matandika.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment