Bi. KAWAWA Ateuliwa Kuwa Kaimu Mkurugenzi Habari Maelezo

Bi. Zamaradi Kawawa.
Bi. Zamaradi Kawawa ameteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo akichukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa idara hiyo, Assah Mwambene aliyehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa.
Kwa taarifa zaidi, soma hapa chini;

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment