JE, WAJUA? NCHI NYINGINE YA 4 AFRIKA INAYOTUMIA SHILINGI

Shilingi ni neno ambalo limetokana na (Scalling) ni kiwango cha fedha kilichowahi kutumika Nchini Uingereza, Australia na Nchi zingine za Jumuiya ya Madola ambazo zilikuwa chini ya ukoloni wa Muingereza.
Katika Jumuiya ya afrika mashariki ambayo inaundwa na nchi sita, zikiwemo Tanzania, Kenya na Uganda ambazo zilikuwa chini ya koloni la Muingereza ndizo zinazo tumia kiwango cha fedha cha Shilingi, lakini nje ya Jumuiya hiyo kuna nchi nyingine ambayo inatumia kiwango cha Shilingi, Nchi hiyo ni SOMALIA
Shilingi imekuwa sarafu ya maeneo ya Somalia tangu 1921 chini ya Muingereza, na kwa wakati huo shilingi ya ukanda wa Afrika Mashariki ilikuwa sawa kwa thamani.
Lakini kwa sasa Kiwango cha shilingi ya Somalia kwa Dola 1 ya kimarekani ni sawa na SOS 612.

1.00 USD = 612.933 SOS
US Dollar Somali Shilling
1 USD = 612.933 SOS 
1 SOS = 0.00163150 USD

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment