MSIBA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT Amatus LIYUMBA Afariki Dunia


Amatus Liyumba enzi za uhai wake.
Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia leo, msiba upo nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment