Wachezaji wa Man City.
Mechi za Marudiano za Robo Fainali
ya michuano ya Uefa zinaendelea tena leo Jumanne na jumatano kwa michezo
minne, ambapo jumanne kutachezwa mechi mbili .
Mechi za leo Jumanne
Manchester City vs Paris St-Germain Uwanja wa Etihad Bernabeu Real Madrid Vs VfL Wolf-sburg Uwanja wa Santiago
Siku ya Jumatano Benfica watawakaribisha Bayern Munich ,na Atletico Madrid watakuwa wenyeji wa Barcelona.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment