Mchezaji wa TAIFA STARS, Farid Musa Kaeleza Safari Yake ya Kwenda Kufanya Majaribio Hispania na Mkataba Wake na Puma


Baada ya headlines za muda mrefu kumuhusisha winga mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Azam FC Farid Musa kuandikwa kuwa huenda akaenda kufanya majaribio katika klabu za Ubelgiji na mpango huo kuyayeyuka, zimeibuka headlines mpya kuhusu mchezaji huyo.

Kwa sasa Farid Musa amethibitisha anakwenda Hispania April 22 2016 kufanya majaribio ya mwezi mzima katika vilabu viwili akitokea Tunisia ” Ni kweli naenda kufanya majaribio Hispania katika klabu mbili tofauti zinazoshiriki Laliga, siwezi kutaja ni klabu gani naenda kujiunga nazo kwa majaribio ila majaribio yangu ni ya mwezi mmoja, kuhusu mkataba na Puma ndio ninao mkataba wa awali lakini siwezi kuzungumzia zaidi” >>> Farid Musa
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment