Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimezungumza kuhusiana na askari kuendelea kutanda maeneo mbalimbali visiwani Zanzibar kulinda na kufanya doria, licha ya kuwa uchaguzi umemalizika. Mkuu wa itikadi na uenezi wa CCM Zanzibar Waridi Bakari amelizungumzia hili.
“Nazungumzia kuhusiana na vikosi vinavyowaambia wafanyabishara wafunge maduka yao mapema, hilo lilikuwa linafanyika ili kuimarisha ulinzi na usalama, baada ya awali kujitokeza vitendo vya uvunjifu wa amani, hususani wakati wa usiku, ila kwa sasa sidhani kama hali hiyo itaendelea” >>> Waridi Bakari

Unaweza kutazama na kusikiliza video ya Waridi Bakari hapa
-via millardayo
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment