Headlines za kocha wa klabu ya Man United Louis van Gaal kuhusishwa kutaka kufukuzwa na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho, March 22 wataalam wa mambo wametaja sababu 5 kwa nini Jose Mourinho hajatangazwa kuwa kocha wa Man United hadi sasa.
1- Hadi sasa bodi ya wakurugenzi ya Man United
inatajwa kuwa na mvutano juu ya maamuzi ya kuingia mkataba na Mourinho
au la ila tabia yake ya utata imefanya kusita kufanya maamuzi hayo hadi
sasa.
2- Sababu ya pili Man United huwa na utamaduni wa kuwapa nafasi wachezaji makinda kama Marcus Rashford, hivyo wanahofia kumpa timu Mourinho kwani huenda akawapotez makinda hao kutokana na tabia yake ya kupenda wachezaji walio komaa.
Unaweza malizia sababu 3 kwa kubonyeza play hapa
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment