Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu mtangazaji wa kipindi cha #Clouds360 cha #CloudsTv Hudson Kamoga baada ya kusikia watu wanazungumzia kuhusu mshahara wa Rais. Rais amesema mshahara alioukuta na ambao analipwa milioni 9 na laki 5. Amelazimika kuyasema hayo wakati wa uchambuzi wa magazeti kupitia #Clouds360. Ameahidi akirudi kutoka likizo yupo tayari kuonyesha nyaraka za malipo ya mshahara wake.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment