Serikali
ya Tanzania imesema kujitoa kwa wafadhili wa Shirika la Changamoto za
Milenia(MCC),katika miradi ya kuzalisha umeme hukujaathri utekeezaji wa
miradio hiyo ya usambazaji wa umeme vijijini.
Akitoa
kauli hiyo ya Serikali jana Bungeni mjini Dodoma katika kipindi cha
Maswali na Majibu Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard
Kalemani, amesema miradi yote ya shirika hilo ya awamu ya kwanza
ilitekelezwa vizuri na kukamilika.
Dkt.
Kelemani amesema kuwa katika utekelezaji wa miradi hiyo awamu ya pili
serikali itatoa shilingi bilioni moja na kiasi kingine kitatolewa na
benki ya Maendeleo ya Afrika AFDB na Benki ya dunia (WB).
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment