Kesi ya Lyatonga Mrema kupinga ushindi
wa Ubunge wa James Mbatia jimbo la Vunjo ilikua Mahakamani tena April 4
2016 ambapo jipya lililotangazwa ni kwamba Mahakama kuu kanda ya Moshi
imeridhia makubaliano yaliyofikiwa kati ya Mbunge wa Vunjo James Mbatia na Agustino Mrema kwa shauri hilo kuisha na kwamba Mbatia ndiye Mbunge halali wa Vunjo na Mrema atatakiwa kulipa sehemu ya gharama za mawakili wa Mbatia shilingi Milioni 40.
Unaweza kumsikiliza James Mbatia hapa chini akichanganua ishu ya hizo Milioni 40 japo yeye amemsamehe Mrema.
-via millardayo
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment