Mwenyekiti Wa CHADEMA Mkoa Wa Iringa Afariki Kwa Ajali Mbaya ya Gari


Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa Vijijini Ndg.Sinkala Mwenda amepata ajali jana jioni eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu lakini bahati mbaya akafariki dunia muda mfupi wakati madaktari wakijitahidi kuokoa uhai wake. Pumzika kwa amani Kamanda Sinkara!
Taarifa zaidi endelea kufuatili hapa hapa tanzanialeo.com 
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment