
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuashiria kuagana na
wageni wake, Raila Odinga pamoja na Mkewe Ida Odinga waliofika Chato
juzi kwa ajili ya mapumziko na kumpongeza Mhe. Rais.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bi Ida Odinga, huku Raila
Odinga akiagana na Mama Janeth Magufuli katika uwanja wa Shule ya
Sekondari ya Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Raila
Odiga, Ida Odinga pamoja na Mkewe mama Janeth Magufuli katika uwanja wa
Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia watoto aliwakuta kwenye
uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita.
(PICHA NA IKULU)

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment