Uteuzi huo wa Rais Dkt Shein umefuata baada ya leo kutoa hotuba na kuzindua Baraza la wawakilishi ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
Wengine walioteuliwa kuwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ni pamoja na;
1.Mohamed aboud Mohamed
2. Amina Salum Ali
3. Moulin Castico
4. Balozi Ali karume
5. Said Soud Said na
6. Juma Ali Khatibu
Aidha uteuzi huo umeanza hii leo tarehe 05.04.2016.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]

0 comments:
Post a Comment