Wazee Hawa Wana Miaka 116 na Bado Wanadunda! [+PICHAZ]

susannah-mushatt-jones
Susannah Mushatt  sasa ana umri wa miaka 116392999-49a6c0a4-5a3e-11e3-b7ab-c407036b0b36Emma Morano sasa ana umri wa miaka 117.
Duh! Hawa ndiyo vikongwe ambao wamebainika kuzaliwa miaka ya 1800 na wanaendelea kuishi kama kawa.
Susannah Mushatt kutoka Marekani, alizaliwa Julai, 1899, kwa sasa ana umri wa miaka 116 huku ajuza mwingine ni Muitaliano, Emma Morano aliyezaliwa Septemba, 1899 ambaye naye kwa sasa ana umri wa miaka 116. 

Wote wameingia katika Kitabu cha Kumbukumbu cha Dunia cha Guinness kwa kuwa ndiyo vikongwe walio hai mpaka sasa.
Hata hivyo, ajuza mwingine ambaye aliwahi kuishi miaka mingi ni Jeanne Calment, raia wa Ufaransa aliyezaliwa mwaka 1875 na alifariki dunia mwaka 1997 akiwa na miaka 122.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment