Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Jumanne hii alimwandalia dhifa ya Taifa, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)
Joseph Kabila wakiagana na viongozi wastaafu Ikulu jijini Dar es salaam

Shughuli hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkali wa masauti Christian Bella alikuwa mmoja kati ya wasanii ambao
walialikwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kwa ajili ya kusherehesha shughuli hiyo. Angalia picha.
Mama Janeth Magufuli akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa “Nani kama Mama” kwenye dhifa hiyo











Picha chanzo: Matukio Blog
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment