MAMBO 12 USIYOYAJUA KUHUSU UBONGO WA BINADAMU

1.Ubongo wa mwanadamu unachukua 2% ya uzito wote wa mwili .
2.Kwa wastani ubongo wa mtu mzima una kilo moja na nusu(1.5Kg))
3.Ubongo wa mtoto wa miaka miwili una ukubwa wa asilimia 80 sawa na ubongo wa mtu mzima.
4.Ubongo ndio ogani tata(complex organ)kuliko ogani zote zinazojulikana mpaka sasa katika ulimwengu.
6.Kwa kawaida 3/4 ya damu yote inayotokoka kwenye moyo uenda kwenye ubongo.
7Ubongo wa mwanadamu unahitaji 20% ya gesi yote ya oksijeni iingiayo mwilini ili uwe active.
8.Ukosefu wa oksijeni kwa zaidi ya dakika 5 katika ubongo hupelekea uharibufu wa ubongo.
9.Karibu asilimia 73 ya ubongo wa mwanadamu ni maji na ukavu wa ubongo kwa 2% ya maji yote uathiri kumbukumbu na ufikiri.
10.Ubongo ndiyo ogani peeke mwilini isiyo na seli za kupokea na kuhisi maumivu hivyo hata ukiuchoma ubongo kwa sindano uwezi kuhisi maumivu yoyote yale.
11.Ubongo wa mwanamme ni mkubwa kwa 10% zaidi ya ubongo wa mwanamke.
12.Zaidi ya chemical reaction 100,000 hutokea katika ubongo kwa kila sekunde moja.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment