Rais MAGUFULI Aongea na Wananchi wa Singida Akiwa Njiani Kuelekea Jijini Arusha Kwa Barabara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Mji wa Singida, wakati aliposimama kwa muda akiwa njiani kuelekea Jijini Arusha kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Dodoma, leo Mei 6, 2016.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment