Jana kulikuwa na sintofahamu baada ya tetesi kusemekana kuwa watangazaji maarufu wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM Gerald Hando na PJ Wamefukuzwa kazi. Leo tetesi hizo zimezidi kushika mizizi baada ya watangazaji wa zamani wa kipindi hicho Phina Mango na Masoud Kipanya walioacha kazi miaka kadhaa nyuma kushika nafasi zao. Muda huu ninaoandika hii habari wako On Air wanatangaza Sambamba na Babra na Fredwaa katika Cloud FM na pia wanaonekana live Clouds TV.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment