
>>>’tutakusanya kodi, tutakusanya na mapato yasiyo ya kodi kwa nguvu zote, tumechelewa mno watanzania wenzangu kwa sababu hiyo lazima tufanye kila jitihada, kila mwananchi alipe kile kinachopaswa hili tukiweke kwenye maendeleo’:-Waziri Mpango
>>>’lazima tuvuje jasho watanzania hakuna namna nyingine ya kuendelea lakini pia tutakwenda kukopa lakini ni kwa tahadhari, tutaendelea kwenda kukopa kwa msisistizo kwamba mikopo hii ielekezwe kwenye miradi ya maendeleo’:-Waziri Mpango
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment