PICHA 10: Hivi Ndivyo Vinatajwa Kuwa Viwanja 10 Bora Vya Ndege Duniani Hadi Kufikia March 2016


Kwa mwaka wa nne mfululizo uwanja wa Ndege wa Singapore Changi umekuwa ndio uwanja wa ndege bora zaidi duniani ukishika nafasi ya kwanza na ulichukua tuzo za SkyTrax World Airport Awards 2016 ambapo ulitangazwa huko Gologne Germany, Tuzo za Skytrax zinategemea kura zinazokusanywa kutoka kwa mamillioni ya abiria.
List ya Top 10 ya viwanja bora vya Ndege Duniani 2016
1. Singapore Changi Airport

2. Incheon International Airport (South Korea)

3. Munich Airport (Germany)

4. Tokyo International Airport Haneda

5. Hong Kong International Airport

6. Chubu Centrair International Airport (Nagoya, Japan)

7. Zurich Airport (Switzerland)

8. London Heathrow Airport

9. Kansai International Airport (Osaka, Japan)

10. Hamad International Airport (Doha, Qatar)
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment