April 19 2016 Mkutano wa tatu wa Bunge la kumi na moja umeanza, na lengo lilikuwa ni ni kujadili na kupitisha bajeti ya Serikali.
Katika baadhi ya sekta zilizojadiliwa ni pamoja na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, na Philipo Gekul ambaye ni Mbunge wa Babati Mjini aliuliza ‘Je, ni lini Serikali itamaliza tatizo la ulipaji ushuru wa huduma ambao ni asilimia 0.3 unaotozwa kutoka mitandao ya simu ambao kwa sasa halmashauri zimeshindwa kukusanya ipasavyo’
Naibu Waziri Mhandisi Edwin Ngonyani akajibu >> ‘Suala la ulipaji ushuru wa huduma za mawasiliano ambao ni asilimia 0.3 limekuwa tatizo kwa pande zote mbili, yaani Halmashauti ambazo ndio zinakusanya na kampuni ambazo zinakabiliwa na ugumu wa kuzilipa.’
‘Kwahiyo Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za mikoa, hivi sasa inafanyia marekebisho sharia ya fedha ya Serikali za mitaa ili kuwezesha kukusanya ushuru wa huduma za mawasiliano mahala pamoja’
Baada ya hapo Spika wa Bunge Job Ndugai akaahirisha kikao, na kitaendelea tena April 20 2016 siku ya Jumatano

Spika wa bunge Job Ndugai akiongea mbele ya washiriki wa bunge

Mbunge wa Mikumi Joseph Haule kutokea mbele na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi

Baadhi ya ndugu wa wajumbe

Spika wa bunge akiondoka baada ya kuahirisha mkutano

Baadhi ya wajumbe wakiwa katika picha ya pamoja nje ya bunge

Waziri mkuu Majaliwa na Waziri Makamba

Waziri wa Elimu-Joyce Ndalichako

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment