Tujikumbushe: Tazama Video Hii ya Ezekiel WENJE Akizungumzia Ufisadi wa Kutisha Uliofanywa na Wilson KABWE Katika Jiji la Mwanza

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam aliyesimamishwa kazi Jana, Wilson Kabwe alishawahi kutuhumiwa kwa Ufisadi wa kutisha alioufanya Jijini Mwanza.
Kabla ya kuhamishiwa jijini Dar es salaam, Kabwe alikuwa ni mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ambaye alihamishiwa Mwanza akitokea Mbeya baada ya kutuhumiwa kwa tuhuma kadha.
Tuhuma hizo zilitolewa na Ezekiel Wenje aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana kipindi cha awamu ya nne.

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment