Zitto
Kabwe ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake facebook, na kuonesha
kushangazwa kwa wizara kutoweka wazi wafanyakazi hewa waliomo humo, huku
akijitolea kubainisha wale wa kwenye wizara ya ujenzi.
“Watumishi
hewa kwenye wizara mbona hatusikii? Wakuu wa mikoa wameagizwa kutambua
watumishi hewa. Mawaziri hawakuagizwa. Ok ngoja nijitolee kutambua
watumishi hewa wizara ya ujenzi kupitia ripoti za CAG 2010/2011 mpaka
2014/2015”, aliandika Zitto Kabwe.
Hivi
karibuni mikoa yote nchini imetekeleza agizo la kuhakiki wafanyakazi
hewa walioko kwenye halmashauri zao, huku mkoa wa Mwanza ukiongoza kwa
kuwa na wafanyakazi hewa 334
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment