PICHA: Jose MOURINHO Amesaini Man United, Taarifa Rasmi Hii Hapa Kutoka Sky Sport

Sky Sport wameripoti Jose Mourinho kusaini mkataba rasmi na Man United, kinachosubiriwa ni uongozi wa klabu hiyo kumtangaza tu, kwani leo May 26 ameonekana katika hoteli London akiripotiwa kuwa alikuwa na kikao na mtendaji mkuu wa Man United Ed Woodward.
Video ya ripota wa Sky Sport akithibitisha Jose Mourinho kujiunga Man United bonyeza hapa
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment