Kuhusu bomu lililosikika juzi na kuzua hofu, Kamanda wa Polisi Mwanza Ahmed Msangi ameonea na millardayo.com na kusema yafuatayo >>> ‘Tulikua kwenye Oparesheni zetu tulikwenda kuwatimua watu na ile milipuko yenyewe ni sisi wenyewe tulipiga bomu la kishindo kwasababu kulikua na vijana wengi, hatukutaka walete vurugu‘
‘Sio Majambazi walipiga risasi ni uoga tu Wananchi… Mwanza iko salama.. ni matukio tu ya kawaida sana ambayo yanatokea kama sehemu nyingine, watu wanasema Mwanza sio salama sababu ya yale mauaji ya Sengerema ila kiukweli hali ya Mwanza ni shwari’ – Kamanda Msangi
‘Watu tu wanakuza mambo wanakuza taarifa….. mimi nawakaribisha hata wanaotaka kuja kufanya biashara waje… yeyote anaetaka kuja Mwanza aje, Mwanza iko salama‘
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment