Baada ya June 30 2016 Zlatan Ibrahimovic kutangaza kuwa atajiunga na Man United, usiku wa July 1 2016 kupitia mitandao ya kijamii na mitandao mikubwa ya habari za michezo duniani iliweka picha za Zlatan Ibrahimovic akiwa tayari kajiunga na Man United.
Zlatan Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 34 amejiunga na Man United kwa mkataba wa mwaka mmoja, Ibrahimovic hadi sasa katika soka amecheza jumla ya mechi 677 na kufunga magoli 392.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment