Baada ya SIMBA SC Kutolewa Kombe la FA na Mwadui FC, Huu Ndio Msimamo Wao Kwa Sasa

Baada ya klabu ya Simba kuondolewa katika michuano ya Kombe la FA kwa jumla ya goli 2-1 na klabu ya Coastal Union ya Tanga, mengi yamekuwa yakizungumzwa kuhusiana na utulivu uliokuwepo ndani ya klabu hiyo, ukweli kutoka kwa mwenyekiti wa kamati ya usajili Zacharia Hans Poppe ameuweka wazi kupitia Sports Extra ya Clouds FM.

Kwa sasa sisi tunaweka nguvu zetu katika Ligi Kuu kwani uwezekano wa kuwa mabingwa tunao kutokana na kuwa tumewazidi wenzetu point licha ya kuwazidi michezo kwani chochote kinaweza kutokea, kuhusu stori za upangaji wa matokeo viongozi wanapaswa wawajibishwe kama kuna ushaidi wa sauti na wanaweza kuitwa wahusika wakaeleza wazi wazi” >>> Hans Poppe
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment