Spika wa Bunge, Job Ndugai
akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi wa Bunge mjini
Dodoma kuongoza kikao cha kwanza cha mkutano wa tatu wa Bunge Aprili
19, 2016.
Ruth Owenya akiapa kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
Ritta Kabati akiapa kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) akimwapisha Ritta Kabati kuwa mbunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
Spika wa Bunge, Job Ndugai
akimwapisha Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha
kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimpongeza, Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu , Shamsi Vuai Nahodha
baada ya kuapishwa kuwa Mbunge, Bungeni mjini Dodoma, Aprili 19, 2016.
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa nchi,
Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, January Makamba, bungeni
mjini Dodoma Aprili 19, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) wakizungumza na Mbunge wa Viti
Maalum Riziki Lulida (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Aprili 19, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment