Hapa kuna Picha Kadhaa za Wanajeshi wetu wa JWTZ Wakiwa katika uwanja wa Mapambano katika Misitu ya Ben Congo DRC.
Juzi kati, jeshi letu limetunukiwa medani na MONUSCO Kwa umahili wake.
==>Habari hii na picha ni kwa hisani ya mwandishi na correspondent wa ITV anayeripoti toka Congo ndg. Eshongulu Eshongulu Eshongulu
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment