VIDEO: Hii Ilitokea Kenya, Wanawake Waliiba Ndani ya Mgahawa Nairobi Bila Kujua Wananaswa na Camera

Camera za usalama zilizofungwa kwenye maeneo mbalimbali huwa zinasaidia sana kujifunza au kuepuka kitu kisijirudie wakati mwingine, kwenye hii video hapa chini ni jinsi Wanawake wezi walivyoiba kwenye mgahawa Nairobi Kenya baada ya kujifanya Wateja, hii itatusaidia hata na sisi kuwa makini wakati wote.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment