Najua tayari umepata majibu ya droo ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, ila UEFA wametoa tena majibu ya droo ya UEFA Europa league iliyokuwa inahusisha timu za Liverpool, Villarreal, Sevilla na Shakhtar Donetsk. Majibu haya hapa baada ya UEFA kumaliza kuchezesha droo hiyo.
Michezo ya kwanza ya nusu fainali hiyo itachezwa April 28 na kurudiana Mei 5 2016
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment