Klabu ya Chelsea ambayo msimu ujao itaanza kunolewa na aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Italia katika michuano ya Euro 2016 Antonio Conte, imetangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji aliyekuwa anaichezea Marseille Michy Batshuayi.
Michy Batshuayi mwenye umri wa miaka 22 ametangazwa na Chelsea na kusaini mkataba wa miaka mitano ya kuishi ndani ya Stamford Bridge London England.
Namna linavyotamkwa jina la mshambuliaji mpya wa Chelsea Michy Batshuayi
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment