MSIBA: Aliyewahi Kuwa Mbunge wa Kilindi ( CCM ), Beatrice Shelukindo Afariki Dunia!

Taarifa iliyoifikia chumba chetu cha habari inaeleza kuwa, mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga, Beatrice Shelukindo, amefariki Dunia jana Jumamosi jioni huko jijini Arusha kufuatia kuugua kwa muda.
Mwili umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mount Meru.
Taarifa kamili itawajia kadri itakabyokuwa ikitufikia.
MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI
- AMINA!
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment