Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa kizungumza na wakimbizi wa Burundi walioko katika
kambi ya Lumasi iliyopo wilayni Ngara. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa
Kagera Machi 15 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya wakimbizi wa Burundi walioko kwenye kambi ya Lumasi iliyopo wilayani
Ngara wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia
akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2916. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akiagana na viongozi kambi ya wakimbizi wa Burundi
ya Lumasi iliyoko Ngara viongozi wa wilaya na UNHCR baada ya
kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2016. (Picha
na ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na waumishi wa Shirika la Umeme
Nchini TANESCO baada ya kuwasili kwenye eneo unapowekwa mtambo mpya wa
kufua umeme mjini Ngara ambao aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake
Machi 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akiweka jiwe la msingi la usimikaji mtambo mpya wa
kufua umeme wa Ngara akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15,
2016. Kushoto ni Naibu Waziriwa Nishati na Madini Dkt. Kalemani. (Picha
na ofisi ya Wziri Mkuu).
Moja
ya mabango ambayo yalibebwa na wananchi wa Ngara katika mkutano
uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Ngara Machi 15, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Wananchi wa Ngara baada ya kuweka
jiwe la Msingi la ujenzi wa Mtambo Mpya wa Umeme mjini Ngara Machi 15,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Kassim Majliwa akizungumza na Watumishi na Viongozi wa Mkoa wa
Kagera kuhitimisha ziara yake mkoani humo kwenye ukumbi wa Halmashauri
ya wilay ya Ngara Machi 15, 2916. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment