Eden Hazard
Eden Hazard ndiye mmliki wa Mchezaji bora wa Mwaka wa England ambayo ilifanyika msimu uliopita na mchezaji chipukizi amechukua Harry Kane kama una fuatilia mpira mwka huu yamerudi tena nani nani wameingia katika kinyang’anyiro hiko

MCHEZAJI BORA WA MWAKA ENGLAND (PFA)
Harry Kane amechaguliwa katika vipengele viwili mchezaji bora wa Mwaka na mchezaji Bora kijana huyu anatokea Tottenham Spurs
Mesut Ozil naye ameingia katika kogombania mchezaji bora wa mwaka hii ilitokana na usaidizi wake wa kupatikana kwa mabao (Assist) amesaidi 18 zimebaki mbili aifikie Rekodi ya Thiery Henry.

Wengine wanao Gombania uchezaji Bora wa mwaka ni:-
N’golo Kante- Leicester City
Dimitr Payet- West ham United
Jamie Vardy- Leicester City
N’golo Kante- Leicester City
Dimitr Payet- West ham United
Jamie Vardy- Leicester City
Kwa upande wachezaji vijana wamechaguliwa:-
Dele Alli- Tottenham Spurs
Harry Kane- Tottenham Spurs
Jack Butland-Southampton
Phillipe Coutinho-Liverpool
Romelu Lukaku-Everton
Ross Barkley-Everton
Washindi mara 8 katika misimu 11 iliyopita wametoka Manchester United Liverpool na Chelsea.

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment