Muda Mfupi Kabla ya Mechi ya Man City vs Real Madrid, Hizi ni Takwimu Muhimu Kuzifahamu

Bado masaa kadhaa kabla ya nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kuchezwa katika uwanja wa Etihad Uingereza, mchezo ambao utakuwa unazihusisha klabu za Man City dhidi ya Real Madrid, mtu wangu wa nguvu hizi ni takwimu muhimu za kuzifahamu.

MECHI 5 ZA MWISHO MAN CITY KUCHEZA KABLA YA NUSU FAINALI YA LEO
Man City 4 – 0 Stoke City 23 April 2016
Newcastle 1 – 1 Man City 19 April 2016
Chelsea 0 – 3 Man City 16 April 2016
Man City 1 – 0 PSG 12 April 2016
Man City 2 – 1 West Bromwich Albion 09 April 2016

MECHI 5 ZA MWISHO REAL MADRID KUCHEZA KABLA YA NUSU FAINALI YA LEO
Rayo Vallecano 2 – 3 Real Madrid 23 April 2016
Real Madrid 3 – 0 Villarreal 20 April 2016
Getafe 1 – 5 Real Madrid 16 April 2016
Real Madrid 3 – 0 Wolfsburg 12 April 2016
Real Madrid 4 – 0 Eibar 09 April 2016

MAN CITY VS REAL MADRID
Man City 1 – 4 Real Madrid 24 July 2015
Man City 1 – 1 Real Madrid 21 Nov 2012
Real Madrid 3 – 2 Man City 18 Sep 2012

Kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa leo April 26 2016 takwimu zinaonesha Real Madrid wanasafu imara ya ushambuliaji kuliko Man City, katika mechi zao 5 za hivi karibuni Real Madrid waamefunga jumla ya magoli 18 na kufungwa 3 wakati Man City wamefunga jumla ya goli 11 na kufungwa goli 2 pekee, Real pia wanapewa nafasi kubwa ya kuifunga Man City.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment