Pogba aliyesajiliwa kwa pauni milioni 100 hadi sasa fedha hiyo imerudi kutokana na mauzo ya jezi yake. Tangu kuanza kuuzwa kwa jezi yake namba 6 wiki tatu za mwanzo tangu ajiunge na Man U amefikisha zaidi ya pauni milioni 200. Ni jezi ya mchezaji gani wa kibongo unaweza kununua kwa Tsh 100,000/- ? Tutajie jina lake hapo chini kwenye comment box tafadhali!
0 comments:
Post a Comment